Kamba za Mauti - Lyrics

Copyright (c) Stephen Omondi 2005
Play | Download


gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa

gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa
Stance
kamba za mauti zilinizunguka
mafuriko ya uovu yakanitia hofu
katika shida yangu nalimwita Bwana
nikampelekea malalamiko yangu
akaisikia sauti yangu
kilio changu Bwana akasikia
akanitoa kwa dhiki akanichangamsha
aibu yangu umeifanya sifa aaa
Chorus
gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa

gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa
Stance 2
kamba za kuzimu zilinizunguka
mitego ya mauti ikanikabili
katika shida yangu nalimwita Bwana
nikampelekea malalamiko yangu
akaisikia sauti yangu
kilio changu Bwana akasikia
akanitoa kwa dhiki akanichangamsha
aibu yangu umeifanya sifa aaa
Chorus

gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa
gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa

gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa

gizani umenitoa, nuruni umeniletaaaa
mwangaza nimetazama aaaa